Sauti Ya Jogoo |
|
Author:
| Cermak, Corona |
Illustrator:
| Kilaka, John |
ISBN: | 978-1-7259-8688-6 |
Publication Date: | Jul 2018 |
Publisher: | CreateSpace Independent Publishing Platform
|
Book Format: | Paperback |
List Price: | USD $9.99 |
Book Description:
|
Sauti ya Jogoo. Jifunze sauti ya jogoo na maisha ya wanyama wa nyumbani. Jifunze kuhusu sauti zao, chakula chao, mahali wanapoishi na pia nani ni mlafi kupita wengine. Hadithi imepambwa kwa michoro yenye rangi za kuvutia ya aina ya Tingatinga ili watoto wafurahie wakati wanajifunza.